INGAWA hataki kukiri Moja to Moja, lakini ukiangalia LUGHA Ya mwili kuanzia mazoezini Mpaka kwenye mechi za kirafiki, na kwamba NAME? Kocha wa Simba, Patrick Phiri, hana Imani Rangi ukuta wake haswa baada Ya kutolewa to MKENYA Donald Mosoti.
Lakini beki anayependwa Zaidi Rangi mashabiki wa Simba, Joseph Owino, amewaambia wanazi wa Mnyama kwamba watulie KUNA Vijana wawili; Joram Mgeveke Rangi Hassan Isihaka, watafanya Kazi Ya maana.